Msaada jinsi ya kutoa call baring kwenye laini ya Vodacom,

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Laini yangu ya voda inagoma kufanya chochote inaandka call baring, nikienda kwenye setting na ku cancel all barring bado inagoma kwa kudai pin sio sahh, naingza pin 0000 lakn inakataa kufunguka,

Wataalam wa ktoa tatzo hili kwa njia rahisi na kusolve kabsa karbuni mtoe msaada wenu!
 
nenda kwenye Factory settings u-bofye hapo itaji-restart...
Barring inasetiwa kwenye mtandao sio simu... naamaanisha hata akiitoa hiyo laini na kuiweka kwenye simu nyingine tatizo bado litakuwepo.. rahisi ni kuwasiliana na mhudumu kwa wateja kwani inawezekana kaweka yeye kwa makusudiau au bila kusudi au kazuiliwa na mtowa huduma wake
 
Dogo alikuwa anachezea simu ya bi mikubwa, sasa akaweka ma barring yake sjui nikijaribu kutoa inasema ingiza password nikumuuliza anasema hajawahi kuweka password, nikawapigia huduma kwa wateja Tigo wananambia hawawezi kuitoa useless kabisa
 
Back
Top Bottom