Benki ya CRDB mnazingua kwa huduma zenu

kibunange

Senior Member
Feb 18, 2015
165
148
Sina haja ya kuandika mengi lakini mnazingua huduma zenu, leo nimekaa kwenye foleni nusu saa tuko watu watatu, mhudumu mmoja bado na bank kuna kelele ya kingora isiyokuwa na ulazma (tawi la kariakoo). Inairitate.

Jirekebisheni, kuwa namba moja ni rahisi lakini kubakia namba moja sio rahisi.
 
Back
Top Bottom