ng'ombo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 418
- 619
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea kuwafariji mmoja wa wanafunzi aliyenusurika katika ajali ya bus la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent katika Hospital ya Mount Meru Arusha.
Mungu ana mipango mingi mingine juu yao R.I.P kwa waliotangulia.