Star TV mmatuboa

greater G

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
308
215
Kituo hiki siku hizi sikielewi, au sijui kimekumbwa na tatizo gani.

Hivi,mafundi wake hawajui au hawasikii sauti ilivyo mono badala ya stereo?

Mnatuboa sana sisi watazamaji wenu kupitia king'amuzi cha Star times.

Rekebisheni.
 
shida ni kingámuzi tumia company nyingine star times wamechoka
 
shida ni kingámuzi tumia company nyingine star times wamechoka
sidhan kama tatizo kingamuzi.. mimi situmii star times lkn tatizo ni hilo lipo.
sauti mbayaaa, makelele yanayokera masikioni...sijui ww hawaoni hilo tatizo.
 
Ukiwa na roho ya chuki kwa wenzako mambo yako lazima yaharibike, jamaa alipoteza hela kwa kutoa muda wa bure kwa mwakyembe kumtukana lowasa, wakati wenzake pesa ni mali, sasa acha abaki na likituo lake la hovyo ajifunze kutafuta hela za kuinvest kwe mradi yake.
 
Back
Top Bottom