Machozi ya mamba!

Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako.
Kila mtu anajua uchungu alionao! Wewe mpaka kuweza kupost utumbo huu wakati huu wa majonzi kwa watanzania wote tukuiteje?
 
Back
Top Bottom