Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana wa miaka 25 kuendelea kufungua hotpoti asubuhi na jioni huku kazi yako ni kukesha tu sebleni na maseries ya kikorea Aiseeee jitathmini..... Wengi hapa hasaa wale wahitimu wa vyuo ndio...
16 Reactions
138 Replies
15K Views
Ngoja nijihami. Mimi sio fundi wa kuwasilisha mada kama akina barafu na Mayalla. Ebana ni siku kama nane zimepita tangu kampuni ya betting ya majirani zetu watangaze mtu kushinda bilioni nne na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie uhusiano uliopo kati ya Elimu,afya,Maji safi na maendeleo ya mtanzania hasa yule anaeishi kijijini
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Tunawaomba wahusika Tanroads na Mhandisi manispaa Wilaya ya Kinondoni mtusaidie kutengeneza barabara hii kubwa kwa kiwango cha lami. Barabara hii imeharibika sana wakaazi wa makao haya mapya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau,karibuni mjadala
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Mh Rais, kwanza tunakupongeza kwa sera zako na mawazo mazuri kabisa kuhusu uwekezaji Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea mikoani unaweza kupoteza watu wasiendelee kuwekeza kabisa hapa nchini Kuna...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Baada ya ajali iliyoua wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 kule Arusha nimesikia mmiliki wa shule amekamakwa kwa kuzidisha watu 8 katika lile basi. Sasa nauliza mamlaka husika, je hili suala la...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Bongo Tambarare baada ya miaka 56 ya uhuru na utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali.
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa napenda kutoa heshima zangu zote kwako kama waziri na kama baba. Najua mimi naweza kuwa mwanao kwa umri, na kwa vile kwa mila na desturi zetu mtu mwenye watoto wa rika lako...
1 Reactions
4 Replies
944 Views
Nimefuatilia uandishi wa gazeti la Tanzania Daima, kwakweli unatia kichefuchefu kwenye hili suala la uhakiki wa vyeti vya form 4 na 6. Wao Tanzania Daima kila orodha wanaipa HEADING YA VYETI...
8 Reactions
56 Replies
8K Views
Ajali za magari barabarani zinatutia hasara kubwa za aina mbalimbali kwa taifa, makazini, familia, matajiri wa magari na kwa ndugu na jamaa za wahanga wa ajali hizo. Utafiti wangu nilioufanya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Amani iwe kwenu. Imenibidi kuleta mbele yenu hoja hii, ndugu ameajiriwa miaka kumi iliyopita, mwaka wa kwanza wa ajira yake mwajiri wake hakupeleka michango yake kwenye mfuko wa jamii PSPF. Mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana board! Kwa kweli nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa tigo kwa muda mrefu sana, na mara zote nimekuwa nikifurahishwa na matangazo yao, mfano wa lile la "Ndiyo naniii" na kale ka "Duu!!"...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawaza tu ile paty iliandaliwa na wale jamaa wa umoja wa ulaya tulioaminishwa kuwa walidhamiria kuipeleka znz kwa CUF na kuihenyesha Tanzania. Katika uchaguz wa wabunge wanaoiwakilisha Tanz...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habar zenu, kwa wale mlioanza Fanya Kazi kwa masaa 24 mtupe mrejesho.Mkuu alitoa agizo kuanzia juma tatu ..Bandari na mamlaka zina shirikiana na Bandari zipige Kaz masaa 24, vp kuna...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Huyu billionea wa Arusha alikuwa Wakili mzuri sana, akakamatwa na kesi ya kuhujumu uchumi.. Hivi imeishia wapi??
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku ya kwanza kupanda ndege ulijiskiaje?
0 Reactions
0 Replies
860 Views
TCRA: Kama mnavyoyashughulikia makampuni ya simu kila siku na kututangazia basi hili lifanyike kwenye makampuni ya ving'amuzi, kifupi mfano Azam TV wao king'amuzi chao tangu zimeanza hizi mvua...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Kwa mazingira yalivyo inaonyesha Magu yuko tofauti kabisa na vijana katika uongozi wake.... Je!! Ni kweli tunaitengeneza Tanzania ijayo baada ya miaka 30... au turudi kulekule miaka ya 70/80...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini Wakuu, Jumamosi ya keshokutwa dogo langu anataka kununua gari na budget yake ni Mil. 7 tu. Amekuwa akitaka kununua IST muda mreefu ila akaja kubadikika baada ya kupata RAUM nzuri kweli...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom