TANROADS BARABARA YA KUTOKA BAGAMOYO ROAD KWENDA MABWEPANDE KWENYE NYUMBA ZA MRADI WA TBA

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Tunawaomba wahusika Tanroads na Mhandisi manispaa Wilaya ya Kinondoni mtusaidie kutengeneza barabara hii kubwa kwa kiwango cha lami.
Barabara hii imeharibika sana wakaazi wa makao haya mapya ya nyumba za watumishi wa umaa zilizojengwa kwenye hili tunapata shida sana. kwanza kutoka barabarni mpaka mradi ulipo ni mbali huwezi tembea na miguu ni hadi upande bodaboda maana bajaji haziendi kutokana na ubovu wa barabara hiyo
ninaamini Mheshimiwa Waziri Mbarawa kilio hiki utakisia na tutasaidika inavyotakiwa

wasalaam
 
Back
Top Bottom