Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,475
Ngoja nijihami. Mimi sio fundi wa kuwasilisha mada kama akina barafu na Mayalla.
Ebana ni siku kama nane zimepita tangu kampuni ya betting ya majirani zetu watangaze mtu kushinda bilioni nne na 'upuuzi'.
Ni kitu kinachowezekana kwa vile watu hatuwazi kimfanano,mtu anatabiri kivyake,anashinda.
Jana au juzi jamaa wamevuka boda hadi Tz.
Taarifa ile imebusti sana jina lao kibiashara kiasi kwamba naamini hata baadhi ya watu waliokuwa wanasema betting ni dhambi msimamo wao uko umeyumba kwa kiasi fulani.
Je,ni kwamba mipango ya kuja bongo ilikuwepo kitambo halafu jamaa akashinda au wamemuandaa Akiri kushinda ili kujitangaza tu?
Coincidence ni hali ya vitu ambavyo ni nadra kutokea kwa pamoja bila kupangwa kutokea Mf umemaliza tu kuchaji simu na TANESCO wanakata umeme.
Hoax ni uongo ambao huundwa na kutafutiwa watu wa kusupport uongo huo ikiwezekana hata viongozi mf unasema dawa fulani inatibu kisukari halafu unatafuta watu maarufu wanakiri mbele ya vyombo vya habari kisha inaaminika.
Mimi sihusisiani na kampuni yoyote ya betting kihisa.
Kwa kutumia vitabu viwili ulivyosoma,discuss.
Nini maoni yako katika hili?