Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,583
Mh Rais, kwanza tunakupongeza kwa sera zako na mawazo mazuri kabisa kuhusu uwekezaji
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea mikoani unaweza kupoteza watu wasiendelee kuwekeza kabisa hapa nchini
Kuna pepo linawaingia viongozi pale wanapoona pesa.
Kuna mwekezaji ana nia njema kabisa kuwekeza hapa nchini lakini baadhi ya watu wanakukwamisha.
Kwanza nianze kwa kukujuza baada ya bajeti ya zaidi milioni 300 kupita kwa ajili ya upimaji na mengineyo. Mambo kadhaa kwenye bajeti yaliopitishwa ni pamoja na ununuzi wa mchanga kokoto cement na upimaji kwa ujumla. Mambo haya yaligharimu zaidi ya milioni 110
Pesa hizi zimeshatolewa lakini mpaka sasa tuwaweke wazi pamoja na pesa hizi kutolewa vyote hivi uongozi wako ulienda kuomba kwenye kampuni ya madini na kupatiwa vitu vyoote hivi wakiwemo wapimaji toka migodini.
Tutashangaa kusikia michanga kokoto cement na vinginevyo vitaonyeshwa vimelipiwa wakati sipo.
Ubadhirifu mwingine wa aibu huu unahusu wafanyakzi. Baadhi ya wafanyakazi waliopangiwa kwa ajili ya kazi waliorodheshwa kwenywe bajeti na kupitisihwa na serikali ya mkoa wakiwemo wateule wako.
Cha ajabu baada ya pesa kutolewa walilipwa siku kadhaa na kazi zikaanza vizuri. Sasa imefika madai mengine kudai pesa zako kilichotokeaa ni aibu mh. Rais. Viongozi wameamua kuwaondoa baadhi ya wafanyakazi waliokuwepo kwenye bajeti zaidi ya 20 wakidai bajeti haikimu.
Swali linakuja iweje bajeti mmepitisha kwa idadi kadhaa ya wafanyakazi na tayari mmeshawapa hela zao iweje mmewaondoa bila kupunguza pesa za bajeti mlizopitisha, harufu chafu inanukia.
Wakati wa kusaini kuchukua hela ni jambo la aibu sana lililotokea wakati wakusaini kulikuwa na karatasi mbili zote zina majina zote walishurutushwa watu kusaini. Hata wale waliohoji kwanini tusaini karatasi mbili wakati ingesainiwa moja ya pili mnafanya copy.
Kingine cha ajabu kwenye karatasi za kusaini moja inaonyesha imejaza majina full. Page ya pili majina yale yale karatasi iko nusu.
Tunawashauri hili jambo litawaaibisha na sio hapa tu..
Swali la kujiuliza
1) Kama bajeti imetoka pesa zimetolewa idadi ya wafanyakazi ipo kwanini waondolewe?
2) Kama wameona hakuna pesa ya kutosha kwanini pesa za michanga na kokoto malori mengi tu na cement kadha walizopewa na kampuni ya madini ya acca zisitumike kuwalipa wafanyakazi?
3) Kama pesa zimepitishwa na bajeti na zimetoka na idadi ya watu ni ile ile kwanini zishindwe kukidhi mahitaji
4) Je, pesa za watu zaidi ya 20+ walioondolewa zinakwenda wapi ndani ya siku 30?
5) Je, wale waliolipwa gafla wamekatizwa kuendelea na kazi pesa zao zinarudishwa?
6) Mh Rais kama suala la uwekezaji mtawaachia viongozi wa mikoa ipekee bila kuweka watalaamu itatukuta aibu kubwa tu.
Mambo mengi yanayoendelea tuyaweke hadharani tunahitaji watanzania wanufaike na wawekezaji na sio watu wachache wakae maofisini kuangalia wanakata wapi pesa za watu kumax profit zao.
Inaendelea...