Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wana board!
Kwa kweli nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa tigo kwa muda mrefu sana, na mara zote nimekuwa nikifurahishwa na matangazo yao, mfano wa lile la "Ndiyo naniii" na kale ka "Duu!!"
Lakini niseme tu kwa sasa tigo matangazo yenu haya halisiki kabisa, ni uwongo uliopitiliza, hakuna kipya kwenye matangazo yenu ya sasa ambacho kitamvutia mteja.
Mna tangazo la "Halichachi".. Yaani ni uwongo na lina boa... Eti dereva haache kuendesha gari lenye abiria aende kuongea na simu, hivi katika mazingira halisi ya maisha kitu kama hiki kinawezekana kweli!??
Na mwingine naye yuko kwenye ndoa, eti anaacha kuendelea na utaratibu wa ufingishwaji wa ndoa kisa anapokea simu kwa kuwa bando "halichachi"
Haya matangazo tigo mmepotea njia kabisa, hayana mvuto wa biashara maana hayana hamasa yoyote kwa mteja!