njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,373
- 983
Nawaza tu ile paty iliandaliwa na wale jamaa wa umoja wa ulaya tulioaminishwa kuwa walidhamiria kuipeleka znz kwa CUF na kuihenyesha Tanzania.
Katika uchaguz wa wabunge wanaoiwakilisha Tanz kupitia CDM kuliandaliwa pati muda uleule wa kufanya uchaguz na kutangaza matokeo.
Nilisikia mhe.. Mmoja anasema, ccm wanaweza kuondoka tu wakatuachia maana hizi ni nafasi za cdm...mmmmmh thubuutu.
Ha ha haaaa mengine simalizii nadhani mhe..spika aligundua janja akasema mm sitatoka hadi matokeo yatangazwe.
Hongereni kwa vichinjio.