Muhimbili hospitali ya Taifa

Bongo tupo dunia ya 4 aisee ndo hospital ya taifa hiyo

Sasa ingekuwa ndio jengo linaungua ingekuwaje? None la aibu, alafu kutoka makao makuu ya fire na hapo Muhimbili ni pua na mdomo
Nadhani pia kuna umuhimu wa kuwa na standby gari la zimamoto hayo maeneo ya Hospital
 
Daaah, inahitajika elimu ya matumizi ya fire extinguisher maana hapo emergency zipo tena zenye ujazo mkubwa tu kama za kwenye maroli
 


Bongo Tambarare baada ya miaka 56 ya uhuru na utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali.

This is what we need kazi yao kuambia watu huruhusiwi kupiga picha. Juzi nilipiga picha kivukoni nikaijiwa na mlinzi mbio eti huruhusiwi kupiga picha. Nikapiga matukio kama haya ni ya kuweka kwenye mitandao ili watu wajue makosa yao. Big up kijana umefanya kazi nzuri sana.
 
Back
Top Bottom