Tetesi: Mlioanza Fanya kazi kwa masaa 24

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakuu habar zenu, kwa wale mlioanza Fanya Kazi kwa masaa 24 mtupe mrejesho.Mkuu alitoa agizo kuanzia juma tatu ..Bandari na mamlaka zina shirikiana na Bandari zipige Kaz masaa 24, vp kuna changamoto gani wakuu ?
Wahusika mtu mrejesho
 
Back
Top Bottom