Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kichwa cha habari chajieleza! Waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka. Je Mtumishi aliyepewa maarifa na Mwalimu aliyekuwa na cheti feki twaweza sema alirithishwa maarifa feki? Kwa mfano wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kama nilivosema ni swali la ufahamu tu tangu bunge lianze miaka na miaka wabunge wanaowakilisha jimbo la Dodoma mjini nao hulipwa stahiki zao sawa na wabunge watokao majimbo mengine?au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyew cheti cha chekechea cha Mwaka 2001 .tuwasiliane Nataka kukamilisha CV yangu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilitaka kufahamu hizi nchi kunani mbona hazi sound kama nchi nyingine.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idrisa Kikula naye ameorodheshwa katika watumishi ambao tarifa zao vya vyeti vya taaluma hazikamilika (incomplete) Katika orodha hiyo Prof...
1 Reactions
63 Replies
12K Views
Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha dodoma kilipata ugeni mzito kutoka mbugani ambapo tembo walifika katika msitu wa chuo hiki kikubwa kabisa central and east africa.TEMBo hawa tayari wameshawekwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu na dada,naomba kujua kama gharama za vifurushi vya startimes vimepanda kwa wote au king'amuzi changu kina leakage sababu kwa miezi miwili mfululizo kimekua kinakata baada ya siku...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Habari Wanabodi, Ni takribani miezi mitatu iliyopita nilikuwa Mwandege-Mkuranga, maeneo ya Rosh Bar, mbele kidogo ya hii bar kulionekana kana kuna mtaro mdogo ulkiyosababishwa na mvua. Jana...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
" Namwomba huyo Msanii Ney wa Mitego atolewe huko Police na tena kama anaweza akaongeze baadhi ya mistari katika wimbo wake mzuri niliousikiliza wa WAPO kwani bado tuna matatizo mengi yanahitaji...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
--------------------------- Kwanza hao watoto wamepanda wenyewe au wamepandishwa...??? Aisee kama hiyo ni adhabu ilivuka kiwango.... Inasikitisha sana Poleni sana watoto kwa hilo zoezi
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari humu,naomba kujua usahihi wa neno gani la kutumia kati ya hayo ninapotaka kusema mfano; I will visit you one day au ni I will visit you someday someday?
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Mvua oyeeeeee, baridi oyeeeeee! Ingawa hali ya hewa si rafiki sana lakini traffic police wamejaa kwenye makutano yote ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi/old Bagamoyo. Wanavuta magari huku wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Tukitaka uchumi Wetu ukue lazima tubadili mambo yale tuliyokuwa tukifanya kwa utaratibu ule ule kwa wakati wote, ili Uchumi ukue ni lazima pesa zitoke katika shughuli ndogo na kuwekezwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Nimekiona hili mara kadhaa, leo nimeamua kushare, nimekuwa nikipita mara nying sana karibu na Kanisa la Ufufuo la Mch. Gwajima, sio siri jamaa ni jembe. Ukiacha mambo na vitu...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Hivi karibuni tunategemea kupata ugeni kutoka nchini Africa Ya KUSINI ukiongozwa na Rais wa Nchi hiyo ndugu JACOB ZUMA. Ugeni huu unakuja kutokana na mualiko wa Rais wetu ndugu. JOHN POMBE JOSEPH...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu WANA jamvi. ......Wahenga walisema siku zote mchuma janga hula na wa kwao,na Usipojenga ufa basi utajenga ukuta kabisa. Nimewahi kuuliza humu ndani kuwa kiwanda kinachotengeneza maji...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo nmezunguka sehemu nyingi hapa dar es salaam, nlichoona kama maajabu ni kwamba hakuna foleni tuliyoizoea. Mvua inanyesha lakini foleni inatembea. Sijajua nini sababu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna mzee wangu mmoja bila kuwa na machale na yeye angekumbwa na utumbuaji wa vyeti feki. Huyu mzee alikuwa na cheti feki, Kwan maana ya kwamba baada ya kuhitimu fomu4 miaka ya 70 alipata...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Tafadhali kama una msimamo mkali wa dini ishia hapa usiendelee kusoma. Nilikuwa kijiweni muda mfupi uliopita nacheza mchezo wa Draft. Kaja jamaa mmoja baada ya salamu jamaa mungine akauliza...
2 Reactions
187 Replies
37K Views
Back
Top Bottom