Habari wadau,
Leo napenda tujadili namna huyu shetani alivyo. Kwa namna mimi ninavyomfahamu Shetani yuko katika nafsi tatu chafu yaani kama alivyo MUNGU MWENYEZI ambaye ni nafsi tatu takatifu ndiye muweza wa yote.
Haya maelezo ni ya unavodhani wewe au Kuna Mahala umeyapata,Habari wadau,
Leo napenda tujadili namna huyu shetani alivyo. Kwa namna mimi ninavyomfahamu Shetani yuko katika nafsi tatu chafu yaani kama alivyo MUNGU MWENYEZI ambaye ni nafsi tatu takatifu ndivyo na shetani alicopy hivyo hivyo.
Nitaelezea kwa ufupi Shetani yuko hivi:
1.Joka kuu huyu ndiye baba wa uovu wote unaouona na kuusikia, huyu joka kuu anaitwa ibilisi ana vichwa saba na usoni anafanana na mtu tena vichwani kuna magamba na mkiani ana kucha kubwa sana. Yaani ibilisi ni joka kubwa la kutisha sana na yeye ndiye baba wa lusifa na miungu yote ikiwemo mapepo, majini na uovu wote huyu ndiye mkuu ambaye ameishika dunia ili watu wasimjue YESU KRISTO wasije wakaokoka. Huyu joka kuu aitwaye ibilisi wakati anashushwa kutoka mbinguni duniani hakukuwa na viumbe hai yaani vingekuwepo vingekufa vyote kwa sababu ilikuwa ni vita ya hatari sana.
2.Lusifa huyu ni mtoto wa ibilisi ndiye msaidizi mkuu wa ibilisi. Yaani huyu ni mwana na umbo lake liko hivi ana mapembe mawili na usoni anafanana na beberu la mbuzi na ndevu zake ni kama mbuzi hivyo hivyo. Yaani huyu ni mtoto wa ibilisi jina lake ni Lusifa kwa kiarabu anaitwa Dajjal anashirikiana na baba yake ibilisi kuwapotosha watu wasimjue YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI wasije wakaokoka.
3.Baalzebul huyu ni roho mchafu ambaye ndiye nafsi ya tatu ya shetani. Kazi yake ni kusambaza nguvu za uovu dunia nzima. Anaongoza majini yote, mapepo aina zote, wakuu wa anga, mizimu na kila aina ya uovo kuwateka wanadamu ili wasomjue Mungu wa kweli. Hapo nimeeleza kwa kifupi ili tujuzane kidogo.
Njia ya kuwashinda hawa ni kwa jina la YESU KRISTO pekee mwana wa Mungu aliye hai basi maana huyu ndiye mwokozi wa ulimwengu. Yaani shetani na nguvu zake nyingi na utisho lakini kwa YESU KRISTO hana nguvu ananywea kimya maana sifa za huyu YESU KRISTO ni mwanzo na mwisho tena hashindwi na chochote yeye ndiye muweza wa yote.
Mkuu ww ndo hujasoma vizuri kuna sehemu kwenye biblia imeandikwa joka la zamani aitwaye ibilisi na shetani..hapo unasemaje?Haya maelezo ni ya unavodhani wewe au Kuna Mahala umeyapata,
Aisee acha kuongopa
Lucifer ndo shetani,
Soma biblia
Mshana Jr pita huku tusikie mchango wako mkuu.
Tunamjenga shetani kama dubwana linalotisha sana lakini tukumbuke once shetani alikuwa malaika mkuuMungu au Shetani, anatofautiana sana kati ya mtu mmoja na mwingine. Hata ukienda kanisani ungeshangaa kuona kile anschokiwaza muumini anaposali jinsi anavyoumba Mungu alivyo na nna uhakika hii haifanani kati ya mtu mmoja na mwingine.
mshana jr pita huku ushushe darasa
Tunamjenga shetani kama dubwana linalotisha sana lakini tukumbuke once shetani alikuwa malaika mkuu
Satan is the most beautiful creature....