baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kwa mazingira yalivyo inaonyesha Magu yuko tofauti kabisa na vijana katika uongozi wake.... Je!! Ni kweli tunaitengeneza Tanzania ijayo baada ya miaka 30... au turudi kulekule miaka ya 70/80
Vijana ni taifa la leo na kesho pia...sasa kama wazee ndiyo kipaumbele chake.... sasa hawa vijana kesho wataweza kuongoza... Ni kweli tunaitengeneza Tanzania bora ya 2030...
Au tunatengeneza jipu.....kazi kubwa ya kiongozi ni kushape wale wabaya kuwa wazuri..... Chochote kizuri kimetengenezwa.
Vijana wapewe nafasi ....
sin