Msaada Tafadhali: RAUM au IST ipi bora kwa Mil 7 kamili?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,897
40,444
Habarini Wakuu,

Jumamosi ya keshokutwa dogo langu anataka kununua gari na budget yake ni Mil. 7 tu.

Amekuwa akitaka kununua IST muda mreefu ila akaja kubadikika baada ya kupata RAUM nzuri kweli ni namba C.

Kwenu Wataalam/ Wazoefu wa magari mnaweza kumshauri anunue ipi?

Kununua RAUM kwa Million 7 ni sawa au atatapeliwa?


MSAADA PLS,
 
Hivi kwanini asiwe mvumilivu kiasi aongeze ifike hata 9.5m, aagize yake from Japan. Aanze kuijambia mwenyewe.,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom