TCRA: Kama mnavyoyashughulikia makampuni ya simu kila siku na kututangazia basi hili lifanyike kwenye makampuni ya ving'amuzi, kifupi mfano Azam TV wao king'amuzi chao tangu zimeanza hizi mvua kuna siku unakaa siku nzima hupati huduma yani hata wingu likitanda kidogo tu alafu mwisho wa siku unaambiwa kifurushi kimeisha. WEEK nzima hii imekuwa mtihani hakuna huduka mzuri ya king'amuzi na tunalipia.