Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,411
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,jinsia ,Wazee na watoto imewatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa ebola ambao umeripotiwa katika nchi jirani ya DR Congo na kusema tayari imeanza kuchukua hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuimarisha maabara za ndani.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV