NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
Wana JF habarini Wakuu
Nina mengi najiuliza kuhusu KUVUNJWA CDA DODOMA jamani,,, ktk eneo langu pale mjini nililinunua kimila na nkafatilia saana CDA wanihalalishie umiliki lakini nikapigwa kalenda kwamba watatupimia wakazi wote mwaka Jana ila sjawahi kuwaona!!
OK naachana na hayo nakuja ktk baadhi ya ninayojiuliza na nnajua wenye PLOTS DODOMA TUTASAIDIANA ;-
1.Ule ukanganyifu ( kiwanja kimoja kina hati zaidi ya moja na wakawa hawajatoa suluhu kwa kua hati zinakutwa na sahihi kwa wote kumiliki eneo)uliofanywa na CDA nani atauamua na kuwe fair?
2. Ule urasimu wa watumishi kupokonya au kupoteza faili za watu itakuaje??
3. Hapo wajanja wapya wa ardhi si watachipuka kwa wingi katika madai ndani ya Halmashauri!?
4. Kweli Halmashauri kama Halmashauri itauweza mkito!?
5. Sisi ambao tuliwekewa zengwe kupimiwa si ndio tutaambiwa tumejenga katika nafasi za OPEN!?
Nahisi kukosa uelewa na kuhisi kusumbuliwa hasa kina Bashite wakiupewa mkoa!!