beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,367
Kutokana na gonjwa hili korofi kuripotiwa kushambulia nchini Kongo hivi karibuni, Wizara ya Afya imelazimika kutoa tahadhari mapema kwa watanzania ili kuweza kuchukua hatua za kujikinga na kulidhibiti litakapotua nchini.
Katika taarifa hiyo, wizara imeeleza kwa kina kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna ya kujikinga nao. Pia imeziagiza taasisi zote za afya na za kitafiti kukusanya taarifa zozote zinazoweza kusaidia kuzuia balaa hili lisiingie Tanzania.
Ugonjwa huu ni hatari sana na unamaliza nguvukazi ya Taifa.