maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,811
- 2,359
Huu uvumi na kusemwa kila kona polisi vijana wanajisikia vibaya sana na wako frastrated huku wakijiona jamii haiwakubali.
Ukicheki tukio la askari yule aliyepiga risasi hewani na kusikiliza maneno yako yaani yuko frastrated ile mbaya
Maneno yake ni kwa nini hamheshimu serikali mimi nimeapa kuilinda serikali huku anaonekana ana machungu moyoni anaongeza siwezi kudhataulika anahisi wanadharaulika
Hii ni tatizo kubwa sana