Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huyu jamaa ana kipaji cha ajabu na wala hakupaswa kuwa anashinda kuchora vikatuni Magazetini, na kufanya udaku Clouds Fm bali Masudi Kipanya alifaa awe Profesa wa Ubunifu, alipaswa akabidhiwe Department ya Chuo Kikuu cha ubunifu na atumike na kwenye viwanda kufanya product design.
Hapa namaanisha kwa mfano hata tu kudesign chupa ya maji ya Kilimanjaro au nembo ya kutumika Air Tanzania na vitu kama hivyo, lkn kwa sasa hivi hali jinsi ilivyo anaishia hivyo na akiondoka haachi wa kumrithi, laiti kama angekuwa ni Profesa wa Chuo Kikuu basi angeaandaa watu kama yeye wengine wengi, ...