Hivi kiburi ni nini?

Mjomba kazola

Member
Mar 25, 2017
33
14
Habari zenu wana jamvi,
Nina imani humu tupo watu wa imani tofauti ikiwemo ukristo na uislamu
na pia nina amini kua kati ya imani zote hizo hakuna imani inayo sapoti mtu kuwa na kiburi
kwa maana kuwa katika imani zote hizo tendo la kiburi linaonekana kuwa ni dhambi kwa Mungu.

Sasa tatizo nililonalo kijana wenu ni kwamba huwa naambiwa mara kwa mara na wakubwa zangu ya kua "nina kiburi"
Na kauli hii huwa inawatoka hasa pale ninapoamua kukaa Kimya (kutokujibishana)
Ndugu zangu kwa ufupi ni kwamba mimi huwa sipendagi kujibishana na wakubwa kwa sababu si tabia nzuri hata mbele ya mungu japokua mda mwingine wakubwa huwa wanawakwaza wadogo ama kwa kujua au kwa kutokujua na hali hii ndiyo inayaopelekea mdogo kukwazika na kuanza kujibishana na mkubwa wake
Lakini kwangu mimi imekua ni tofauti kwa sababu pindi mkubwa anaponikwaza huwa naamua kukaa kimya bila kumjibu neno lolote na hali hii ndiyo inapelekea wakubwa hao kuniambia kua "nina kiburi" kwa sababu ya ukimya wangu.

Sasa naomba kuuliza hivi kiburi ni nini?
na je kukaa kimya ni kiburi?
Naimani wote tulio humu ni watu wazima (18+) hivyo natumaini kupata majibu yenye kufunza zaidi na ningeomba masihara tuweke pembeni kidogo.
 
Habari zenu wana jamvi
Nina imani humu tupo watu wa imani tofauti ikiwemo ukristo na uislamu
na pia nina amini kua kati ya imani zote hizo hakuna imani inayo sapoti mtu kuwa na kiburi
kwa maana kuwa ktk imani zote hizo tendo la kiburi linaonekana kuwa ni dhambi kwa mungu

Sasa tatizo nililonalo kijana wenu ni kwamba huwa naambiwa mara kwa mara na wakubwa zangu ya kua "nina kiburi"
Na kauli hii huwa inawatoka hasa pale ninapoamua kukaa Kimya (kutokujibishana)
Ndugu zangu kwa ufupi ni kwamba mimi huwa sipendagi kujibishana na wakubwa kwa sababu si tabia nzuri hata mbele ya mungu japokua mda mwingine wakubwa huwa wanawakwaza wadogo ama kwa kujua au kwa kutokujua na hali hii ndiyo inayaopelekea mdogo kukwazika na kuanza kujibishana na mkubwa wake
Lakini kwangu mimi imekua ni tofauti kwa sababu pindi mkubwa anaponikwaza huwa naamua kukaa kimya bila kumjibu neno lolote na hali hii ndiyo inapelekea wakubwa hao kuniambia kua nina kiburi kwa sababu ya ukimwa wangu.

Sasa naomba kuuliza hivi kiburi ni nini?
na je kukaa kimya ni kiburi?
Naimani wote tulio humu ni watu wazima (18+) hvyo natumaini kupata majibu yenye kufunza zaidi na ningeomba masihara tuweke pembeni kidogo.
Kiburi ni kudharau watu na kupinga haki.
 
Kwa tafsili isiyo rasmi, kiburi ni kitendo cha mtu kususa kwa jeuri kuitika au kumjibu mtu alie kuuliza jambo linalohitaji majibu ya haraka.

Kuendekeza kiburi ni ujuaji usiona na maana hasa kama kitendo hiki kitafanywa na mtu aliye pevuka na mwenye elimu toshelevu.

Athari kuu za mtu mwenye kibri ni kujinyima maarifa yenye mlengo mtambuka katika kupanua maarifa kwenye nyanja mbalimbali.

Nakushauri ndugu yangu mleta mada acha kibri hakitakujenga.
 
Kiburi ni pale kimbaumbau mwenye mbavu moja atasema kuwa anaweza kumpiga baunsa mwenye miraba sita.

Kwa mfano, yule anayempinga polisi kwa sababu ya cheo au fedha huku akisahau kuwa polisi hata akiwa mdogo au mwembamba anakuwa ni baunsa na miraba sita kwa sababu anakuwa amebeba ile kitu watu wanaogopa sana (Napenization).

Aiseeeeeeh, hebu leta swali jingine!
 
Kwa tafsili isiyo rasmi, kiburi ni kitendo cha mtu kususa kwa jeuri kuitika au kumjibu mtu alie kuuliza jambo linalohitaji majibu ya haraka.

Kuendekeza kiburi ni ujuaji usiona na maana hasa kama kitendo hiki kitafanywa na mtu aliye pevuka na mwenye elimu toshelevu.

Athari kuu za mtu mwenye kibri ni kujinyima maarifa yenye mlengo mtambuka katika kupanua maarifa kwenye nyanja mbalimbali.

Nakushauri ndugu yangu mleta mada acha kibri hakitakujenga.
Nashukuru ndugu yangu kwa ufafanuzi huo
 
Back
Top Bottom