Msaada wa kupata video ya Kakobe katika mahojiano ya kitimoto 1999 cha Pascal Mayalla

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Habari ndugu zangu . naomben kupata video kamili ya kipind alihojiwa Mchungaji kakobe enzi zile kwenye kipind cha kitimoto cha Mwandishi makin na mzalendo ndugu @pascalmayalla Japo hakikurushwa hewan baada ya kuzuiliwa na serikal ila Ujumbe wake ni mzuri sana
 
Kama kilizuiwa na serikali we unakitaka cha nini? Uchochezi?
 
Mie nakumbuka Kiti Moto alichowekwa Waziri wa Fedha wa Wakati huo Daniel Yona, haitokuja kurudia sema ndo hivo Tena Bongo usishngae hata Libarary ya DTV hawana records zile!
 
Back
Top Bottom