Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,644
Leo nimeangalia taarifa ya Habari ITV ikionesha ajali ya lori mkoani Lindi.Madereva wamelalamikia kuchoshwa na serikali kutotengeneza hii barabara.Cha ajabu baada ya Mkuu wa Mkoa kutuliza watu kwa kuwaahidi kuwa barabara itashughulikiwa,bali anadai eti aliwaambia waache kuendesha kwa kukatakata kona.Hataki kudai kwamba serikali imechelewesha ujenzi ilimradi asimuudhi Mkulu.Huu kama sio upuuzi ni nini?