Maombo kwa Viongozi wa wilaya na mkuranga

osama BLD

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
561
294
Katika mizunguko yangu Leo nilitaka kwenda wilaya mkuranga mjini then badae nifanye matembezi katika mji mdogo wilayani humo uitwao hoyo hoyo na badae nimalizie kijiji cha vikangara.....

Nimesikitika sana baada ya kusema nitumie njia ya mkato ambayo ndio hutumika inanzia banana kivule msongola getonga tiyari hapo ushaingia wilaya ya mkuranga...

Nimesikitika mara baada ya kufika bonde moja mlima nyangoro nimekuta hamna njia kwa sababu maji yamezidi inakulazimu kutoa nguo zote ndio upite kwa kufushwa ngambo ya pili.....basi ndoto zangu zikakwama....

Nilikuwa na land cruiser ambayo haiwezi kuongia kwenye maji hayo kuyokana na wingi ikqbidi nigeuze nirudi mbande mbagala ninde mkuranga nikafanikiwa kufika...baada ya hapo ilinibidi kuenda hoyo hoyo kupotiia njia kubwa lakin na hizo niligonga mwamba kwa kuwa daraja limekatika ikabidii nikodi pikipiki nitumie kwa mizinguko ya kunifikisha hoyo hoyo na vikangara tungeomba viongozi wa mkuranga mtusaidie kuiona kama ni seriakali au halmashauri ya eneo husika isaidie wananchi...

Asante
 
Back
Top Bottom