Mfanyakazi mwenye mkataba wa kudumu ana haki gani kazi yake inapokuwa Outsourced?

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
Wasalaam wakuu.
Kama mtu alikuwa anafanya kazi ya kudumu, ghafla muajili akaamua kuoutsource majukumu yake
kwa kampuni nyingine ya nje ni malipo gani anastahili kupata?
Na ni sheria ipi inampa nguvu kudai hayo malipo?
hii imetokea makampuni mengi, naomba mwenye kujua zaidi asaidie
 
Back
Top Bottom