Tuna shida gani?

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
528
409
Watanzania wenzangu niulize,hivi tuna shida gani hata tupende dawa kiasi hiki?Yani tukisikia tu tunda fulani dawa basi litakua dili sana kwani tunaumwa nini?dawa kazi yake kutibu hivyo tunamatatizo gani haswa hata tupende dawa kiasi cha kuwaingizia wengi faida kubwa sana kibiashara?unakuta mtu ananunua matunda sio kujenga lishe bora ila kwa kua kasikia ni dawa...
Juzi nimemkuta mtu anakula matikiti na mimi nikanunua...sasa wakati wa story mbili tatu akasema tunatakiwa tule sana maana ni dawa nikamuuliza kwani tunaumwa nini?alikosa jibu na kuanza kusema ile misemo kama 'watanzania bna mnakariri sana'...
Kwa mimi binafsi naona ni sawa inaweza kua dawa lakini je tunaumwa nini haswa hata tupende dawa kiasi hicho?
Ni vyema kujenga utaratibu wa kula lishe bora ili kujenga miili na sio kula lishe ambayo tumesikia ni dawa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom