Wadau,
Naomba kuuliza kumhusu huyu jamaa Abbas Tarimba Abbas ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa (Gaming Board of Tanzania).
Bahati Nasibu ya Taifa ni Idara ya Serikali yenye jukumu mojawapo la kusimamia michezo ya Bahati Nasibu ikiwemo Betting.
Sasa cha kushangaza nimemwona akifanya kazi na kampuni ya SportPesa akiwa kama Mkurugenzi wa Utawala na Uwekezaji.
Swali ni je alishaacha kule Bodi ya Bahati Nasibu Ya Taifa au?