Njoo ujaze na ujazwe na Tigo Tanzania.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Kampuni ya @ Tigo Tanzania imekuja na @JazaUjazwe Dakika,Sms na Mb kibao njoo Ujazwe sasa!
3503a035f07cf36209c3df9f05f5fa22.jpg
 
Naona nikiweka 1000 napewa mb 300 bure masaa 24

Ngoja tuweke angalizo kidogo.

Hakikisha unapoweka hiyo vocha na wakisha kupa hizo MB jiunge kabisa kifurushi.

Ukisema utumie hizo Mb 300 walizokupatia huku ukiacha hiyo 1000 uliyoweka pasipo kujiunga utakuja kujikuta imebaki 80/= au hizo Mb 300 ulizojazzwa zikiisha na ukataka kujiunga usishangae kuletewa meseji hii "ndugu mteja hauna Salio LA kutosha weka vocha ujiunge tena".
 
Back
Top Bottom