Sheria ya kulazimisha wananchi kuchangia Mwenge ni ipi?

SAUL BERENSON

Senior Member
Jan 31, 2017
150
154
Hivi sheria ipi inalazimisha wananchi kutoa michango ya Mwenge?

Je wakigoma wanashtakiwa kwa sheria ipi?

Kama hiyo sheria haipo kwa nini wananchi au asasi za kiraia hazijafungua mashtaka kupinga huu unyanyasaji?

Maoni tafadhali
 
Cc n watanzania chimbuko letu kuitikia hata km hujaelewa pia kukubali jambo sabb fulaniii pia ntaonekanajeee pia uoga
 
!
!
Ipo kwenye ilani. Kama mliichagua kwenye uenyekiti wa kijiji, udiwani, ubunge na uraisi maana yake mlikubali. Teh teh teh [HASHTAG]#mzikiwaherejobonly[/HASHTAG]
 
Hivi sheria ipi inalazimisha wananchi kutoa michango ya Mwenge?

Je wakigoma wanashtakiwa kwa sheria ipi?

Kama hiyo sheria haipo kwa nini wananchi au asasi za kiraia hazijafungua mashtaka kupinga huu unyanyasaji?

Maoni tafadhali
Wapi hyo
 
Back
Top Bottom