BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
habari wakuu
mwezi ujao nimeplan kwenda kenya kwaajili ya kutizama fursa mbalimbali za kibiashara, naenda kuangalia ni bidhaa zipi ambazo kenya zinauzwa kwa bei ya juu na hapa tanzania ni bei ndogo ili niangalie namna ya kuzipeleka na kuangalia bidhaa ambazo kenya ni bei ndogo niweze kuzileta nchini.
humu ndani kuna kila aina ya mtu, naamini wapo ambao wanaijua sana kenya. naombeni mawazo yenu, kwa aina ya uhitaji wangu nikaanzie wapi nikifika kenya? je, kuna bidhaa yoyote ambayo huwa unanunua hapa nchini na unafahamu kuwa inatoka kenya? ni bidhaa gani? ushauri mwingine wowote nitaupokea bila kinyongo
tushirikishane fursa vijana wenzangu, muda wa kutafuta pesa ndio huu