Kiama cha madalali mkoa wa Dar es Salaam kimewadia. Madalali Dar es Salaam wanachangia kuwaongezea wakazi ugumu wa maisha kutokana na kupandisha kodi za vyumba. Hivyo serikali mkoa wa Dar...
Wakuu ni kuhusu watangazaji wa michezo hasa katika suala la soka. Inanikera pale unaposikia watangazaji wakijikita kujadili timu/ligi moja (EPL) na kuacha kutuhabarisha mechi/michuano mingine...
aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
kwanini watu kama hance mtanashat wanamwandama mzee wa kutema yai ngosha wa usa nyan ngabu
kipi kina sukuma watu kama swiswime na genge lake kumwandama...
Ni siku zimepita kidogo tokea watoto wale wapotee katika ajari yya kutisha kweli kweli. Mungu awatangulie na azilaze roho zao mahala pema peponi, Amina.
Pamoja na haya yoote yaliyotokea na...
Benki tatu hatarini kufungwa kutokana na mtikisiko wa uchumi
-Benki ya wanawake 'TWB'
-Ecobank Tanzania
-Efatha Bank
#MWANANCHI NEWSPAPER 4th May 2017
=======
Dar es Salaam. Hali ya mtikisiko...
Huwa najiuliza inakuaje mkuu JPM tangu aingie madarakani rafiki zake ni maraisi wenye skendo mbovu katika nchi zao,karibu viongozi wote wakuu wa nchi waliotembelea bongo wanaskendo mbovu katika...
Wakuu nataka kufahamu orodha ya Benki za Kitanzania ambazo zipo Kenya!!
Tunajua kuna bank za Kenya zpo hapa nchini kama KCB, Equity Bank etc
Nawasilisha
Habari zenu wadau,
Inasikitisha sana kuona Clouds wanajiingiza kwa nguvu kwenye siasa. Kuna baadhi ya vipindi Clouds (radio pamoja na TV) ukisikiliza utaona wanaongelea siasa za kimafumbo...
Mzee wa watu alijitoa kubuni nembo ya serikali ambayo ni utambulisho wetu leo hii anaishi kwenye banda la kuku akizongwa ma nzi.. Siriaz something has to be done.. Chanzo. ITV
Rais Magufuli , pamoja na ugumu wa maisha kwa wananchi na watumishi wa serikali lakini bado tunatumaini kwamba una nia njema.
Kuna mtumishi tangu tarehe 16/05/2017 alipopata posho (lunch)...
Awali ripoti ya wenye vyeti feki ilipotolewa pale Dodoma nilijua ile ndiyo report ya wafanyakazi wote wa serikali. utafiti mdogo niliyofanya ni kuwa kuna baadhi ya taasisi au wizara ambazo...
Ufinyu wa Mapato ya ndani ni dondandugu kwa Halmashauri nyingi hapa Tanzania. Kwa miaka na miaka kumekuwa na kilio cha Halmashauri kushindwa kukusanya mapato na kutegemea fadhila za mapato...
Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayejulikana kama Sanyangore au "Pastor Talent" amekuwa akiongea na Mungu kupitia simu ya mkononi...
Mchungaji huyo anayeongoza kanisa la World International...
Mama wa mtoto huyo anadai aliambiwa na madktari kuwa nyama za ndani za mtoto huyo zimekua ngumu sana, na ili kulainisha nyama hizo mtoto huyo ilibidi anywe mafuta mabichi na sukari robo tatu...
Eti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"
Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na...
Straight to the point.
Waafrika (sanasana wale wanaoishi ughaibuni) tumekuwa na tabia ya kujistukia na kuji-victimize kwa kitendo chochote negative tunachofanyiwa na wenzetu wenye rangi nyeupe...
Sio siri E-FM wamekuwa na weledi kulijadili suala la Makonda na vyeti na pia kumwomba alijibie ili walio chini yake wawe huru. Clouds FM ni waoga kabisa kuliongelea hili na hata juzi walifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.