Habari ya mbunifu wa nembo ya serikali (Adamu na Hawa) imenitia simanzi..

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,362
Mzee wa watu alijitoa kubuni nembo ya serikali ambayo ni utambulisho wetu leo hii anaishi kwenye banda la kuku akizongwa ma nzi.. Siriaz something has to be done.. Chanzo. ITV
 
Nilivyomuona yule babu nimeumia sana,watu walioitumikia nchi hii kwa utukufu mkubwa sana wanalala kichokolaa.ccm wanakula nchi peke yao kina bashite.
 
Mzee hapaswi kuishi maisha anayo ishi.. Anatia huruma na ni mgonjwa sana kwa sasa.. Ina maana serikali haina database ya heros wake jamani?
 
Mzee hapaswi kuishi maisha anayo ishi.. Anatia huruma na ni mgonjwa sana kwa sasa.. Ina maana serikali haina database ya heros wake jamani?
By then mambo hayakuwa digital. record zilikuwa zinahifadhiwa kwenye mafaili.
Hata hivyo serikali imemsahau kabisa huyu mzee... mtu aliyelitumikia taifa leo anaishi hivi
 
Back
Top Bottom