Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa jamani huyu mtu hata Bungeni yaliwahi kuulizwa maswali kuhusu utajiri wake ilihali mshahara wenyewe ni kama 4.8 million na kazi yenyewe haina hata miaka 3 Baadaye tukaonyeshwa documents za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakazi wa Ilala Amana tumepatwa na Msiba wa Mke wa muuza chips maarufu kwa jina la Barafaa, Msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Moshi na Mwanza nyumba ambayo anafanyia biashara yake ya chips.
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu nisaidieni kidogo nini hutokea pale mfungwa anapofariki akiwa bado anatumikia kufungo chake. Je ndugu zake hupewa taarifa pamoja na mwili au kuna taratibu gani?
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Salum Mohamed Almasi alizaliwa mwaka 1989 ni mjukuu wa sheikh Muhammad bin Abdurrahman Ashadhuly. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Kivinje iliyopo Kilwa Kivinje darasa la kwanza...
25 Reactions
379 Replies
55K Views
Veta ni taasisi ya serikali na ni miongoni mwa taasisi zilizojisimamia kataka uhakiki wa vyeti bila uwepo wa wawaklsh wa baraza la mitihani. Cha kushangaza majina ya waliogushi yalipotoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeamua kuhamia Papua huko Nani tunakwenda sote??
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Msijione kwamba mnapendwa pamoja na kwamba social media na nchi nzima ipo upande kwenye hili sakata lenu na Bashite. Ukweli ni kwamba jamaa anachukiwa sana that's why watu wana sympathise na nyie...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Wanajamvi, kwanza niwasalimu nyote. Ninashida na "firm" inayotengeneza unga wa ndizi inaitwa Kishenga Entreprises ipo Dar es Salaam. Kwa yeyote mwenye taarifa nayo, hasa kwa mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Salaam wana JF, Siku kadhaa nyuma niliona taarifa kwamba serikali ipo mbioni kutangaza ajira 15 elfu za dharura ili kujaza upungufu wa watumishi waliotumbuliwa kwa vyeti feki cha ajabu hadi sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza kuona kama ni swali uchwara , lakini si hivyo . Uchunguzi wangu umebaini kwamba , hiyo vocha unayonunua kwa Tsh 1000 , aliyekuuzia aweza kuwa alinunua vocha hiyo hiyo kutoka kwa supplier...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
Kaanza Saudi Arabia(mji mtakatifu wa Dini ya Kiislamu), Kaja palestina/Israel kuna Jerusalemu mji mtakatifu kwa wakatoliki na Atamalizia Ziara yake kwenye kitovu cha wakatoliki wenyewe Vatican kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mgao wa TZS 3.1 Billion ambazo airtel wamegawa leo mim pamoja na kuwa mteja maarufu wa airtel mwenye miamala ya maana airtel money nimeambula shs 461 tu bila senti. Airtel, acheni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Mheshimiwa Spika naona CHADEMA wamefikia pabaya wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumeyapata, shule za Msingi, sekondari na Vyuo viko vingi leo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Najua sasa hivi huko kwenu kuna ukavu kama ule wa ukavu macho, na mnapo angalia kwa kupitia dirishani mnaona rangi nzuri ya kijani kibichi kilicho stawi vizuri kutokana na neema ya wakazi wake...
1 Reactions
6 Replies
989 Views
Kwenye Barua ya Kutenguliwa Uwaziri kwa aliyekuwa Waziri wa Habari. Mh Nape hakuna sababu ya kutenguliwa kwake iliyoelezwa. Kilichoelezwa ni kuwa Mh. Rais ameamua kufanya mabadiliko madogo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila mara "Mila Potofu" hutajwa kwamba ni kikwazo cha maendeleo. Binafsi hupata taabu kuelewa hizo mila potofu. Mila potofu ni zipi? Ziliwekwa kwa makusudi gani, Na nani aliyeziweka, Kisha...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Inasikitisha sana, mzee anaishi maisha duni kwelikweli. Source: ITV habari.
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Kwa mnaotunza kumbukumbu, tusaidie kidogo: Nani aliwahi kuwa RPC wa DSM akatoka vizuri? Turudi hata kabla ya kuwa Kanda maalum ya DSM. Profile inaonyesha: Ukiwa RPC DSM, usipotumiwa na majambazi...
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Kwa maisha yanavyokwenda hali ya maisha ya Tanzania imebadilika ambapo kwasasa mfuko wa Cementi Kg 50 bei yake ni elfu 11,500 wakati bei ya kiroba cha unga KG 50 kwa sasa ni Elfu 96,000 hii...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom