Mchungaji anayeongea na Mungu kwa simu

Mchungaji anayeongea na Mungu kwa simu

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
529
Reaction score
909
18581625_1247840645325032_3179892983909067753_n.jpg

Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayejulikana kama Sanyangore au "Pastor Talent" amekuwa akiongea na Mungu kupitia simu ya mkononi...

Mchungaji huyo anayeongoza kanisa la World International Ministries anadai ana namba ya simu ya Mungu na huwa wanawasiliana mara kwa mara...

Wakati wa ibada mchungaji huyo huwapa simu waumini wake wenye matatizo waongee na Mungu moja kwa moja....

Binafsi sina maoni yoyote maana hayo mambo ni ya kikubwa mimi bado ni mtoto
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
 
Huyu siyo mchungaji ni tapeli, Mungu anatumia line gani ya simu na imesajiliwa wapi?
Usimuite tapeli inawezekana Mungu anayemuamini yeye siyo unayemuamini wewe.
Maana unaweza bishana na mtu ukidhani anamuabudu Mungu unayemjua wewe kumbe yeye anamuabudu binadamu mwenzake kama yule mzee wa kenya aliyekuwa akijiita mungu
 
Siyo makanisa yote ni ya Yesu Kristo.
Kuna (Satanic Churches) makanisa ya shetani mengi tu, yanajulikana kwa matendo yake.
Yakiongoza na mababii wa uwongo wengi tu.
Yesu aliyaita Masinagogi ya Shetani.
Walio amini katika Kristo hawayashangai wameisha ambiwa na wanayafahamu.

Mtawajua kwa matendo yao.
 
Waamini walioongea na Mungu watwambie walisikia sauti ya kike au kiume?
 
Zimbabwe tena.... Juzi juzi mmoja ameliwa na mamba akitembea juu ya maji, mwingine aliingia na watoto kwenye maji kubatiza wakasombwa na maji, hapa kwetu tuna wachungaji watata lakini wa Zimbabwe ni wa mwendo kasi... mweeh, kwa hiyo le pasteri anachonga na God mubashara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
na yeye akatembee juu ya maji kama mwenzake aone yatakayomkuta yeye na simu yake
 
Kanisa la kweli ni roho yako. Hekalu la kweli ni mwili wako., Hao wengine wapigaji tyu., Ila maskini tyu ndo wanaojazana kwenye makanisa., Cjui kwa nn..??
 
Usimuite tapeli inawezekana Mungu anayemuamini yeye siyo unayemuamini wewe.
Maana unaweza bishana na mtu ukidhani anamuabudu Mungu unayemjua wewe kumbe yeye anamuabudu binadamu mwenzake kama yule mzee wa kenya aliyekuwa akijiita mungu

Lazima ufikirie sana [emoji3][emoji3][emoji3]gud point nigga
 
Hivi huyo kasisi alifanikiwa kupiga hata hatua mbili juu ya hayo maji ?
ebu tuwaite wale mamba waliomtafuna vizuri
[emoji246][emoji246]

kwa taarifa alitembea kama mita 30 hv miguu ikiwa ndan ya maji, sasa alipotaka aanze kutembea ON water, mamba aooo,

akustukia muda ote huo na mita 30 alikua kashashindwa zoez lake
 
Back
Top Bottom