Orodha ya Benki za Kitanzania nchini Kenya

Bado watanzania benki zetu hazijawekeza Kenya ingawa wakenya wame~invest huku kwetu sana. Na sio KCB na Equity tu ndio wako huku akina Nakumatt na Uchumi supermarket ni wakenya pia so nadhani ni wakati mwafaka watanzania kujitanua, kufungua matawi na kuwekeza kwa jirani zetu pia.
NIA TUNAYO..., SABABU TUNAYO....., UWEZO TUNAO
 
Sorry mkuu nakumati sio ya wajapani?
 
Back
Top Bottom