orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 757
- 773
Straight to the point.
Waafrika (sanasana wale wanaoishi ughaibuni) tumekuwa na tabia ya kujistukia na kuji-victimize kwa kitendo chochote negative tunachofanyiwa na wenzetu wenye rangi nyeupe eti tu kwasababu we are black! Kila tukifanyiwa tukio lolote baya, kitu cha kwanza mtu anajitetea kwamba ni kwasababu ya rangi ya ngozi yangu.
Mtu mweusi akifukuzwa kazi na bosi mweupe atasingizia weusi wake ndio chanzo. Mtu mweusi akifungwa jela kwa makosa aliyofanya bado atasema ni kwasababu he is black. Ikitokea mtu mweusi kauawa na mtu mweupe (awe raia au askari) basi utashuhudia maandamano ya watu weusi wakidai haki. Mtu mweusi akiitwa 'nigga' na mtu mweupe basi ishakuwa kesi. Na matukio mengine mengi mengi.
Tunatumia kigezo cha rangi yetu kuji-victimize mbele ya jamii ili tuonekane tunaonewa. At the same time tunashuhudia hata watu weupe wenyewe wakipelekwa jela, wakipigwa risasi na polisi, wakiwa jobless mitaani, na wakipata shida kibao tu lakini hata siku moja hutosikia wakitumia kigezo cha rangi kudai haki. Sanasana wataulalamikia mfumo wa serikali unavyoshindwa kuwajali raia wake.
Watu weusi mnaoishi ughaibuni inabidi mtambue kuwa huko mnakoishi ni ugenini. Na mlienda huko kama watumwa au wengine mmeenda kibiashara, kimasomo, kikazi na kutafuta maisha tu. Na inawapasa mtambue kwamba katika hali yoyote ni ngumu sana kuchanganya watu wenye 'race' tofauti na wakaweza kuishi kwa upendo na amani asilimia mia. Mikwaruzano ni lazima itokee tu!
Be proud of your color. Mimi binafsi mzungu akiniita nigga namjibu 'yes i am a nigga. So what?'
Ishu ya kukwaruzana na vyombo vya dola mara kwa mara imetokana na sifa zetu wenyewe tulizojijengea huko ughaibuni. Mtu mweusi amejijengea picha ya kiumbe mwenye kukosa uaminifu, waraibu wa madawa ya kulevya, wahuni, wazinzi, wavuta bange, makahaba, mashoga, vibaka na majambazi, wauza unga na mateja na sifa zote mbaya. Mtu mweusi amejaa usela mavi ambao sio siri inabidi tuwashukuru tu hawa watu weusi kuturuhusu hata kwenda huko ulaya na kuishi nao jamii moja.
Hata matukio ya polisi kuwapiga risasi watu weusi ni kutokana na sifa mbaya ambao tumejijengea huko kwa wenzetu. Watu weusi na walatino wamekuwa kero kwa jamii ya watu weupe huko ughaibuni. 'You have got crime written all over your face.' Kwanini msibadilike na mkajitengenezea sifa nzuri kama za marasi?
Hii iwafikie wote mnaoishi huko mbele. Jitengenezeeni sifa nzuri huko kwa wenzetu kama wanavyofanya wachina duniani kote. Kuweni wachapa kazi, waaminifu, watiifu wa sheria nk na mtashuhudia mambo yanabadilika kabisa. Najua ubaguzi upo, na hauwezi kuisha leo wala kesho. Ila at least we must do something to change the perception of the white man on the blackness of the black people.
Ni hayo tu wadau.
CC: Black people in the diaspora.