Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

kwanini watu kama hance mtanashat wanamwandama mzee wa kutema yai ngosha wa usa nyan ngabu

kipi kina sukuma watu kama swiswime na genge lake kumwandama sana mzee kutema yai NGOSHA NGABU

kwanini yeye tu ndo anaandamwa wala sio wengine
 
Tuanzishe kampeni mahususi ya kumtetea nyani ngabu

Kama ambavyo kikundi Fulani cha wahuni wameamua kukaa chini na kumchafua ndugu yetu
 
aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

kwanini watu kama hance mtanashat wanamwandama mzee wa kutema yai ngosha wa usa nyan ngabu

kipi kina sukuma watu kama swiswime na genge lake kumwandama sana mzee kutema yai NGOSHA NGABU

kwanini yeye tu ndo anaandamwa wala sio wengine

Asipojitokeza mtu na kusema wewe ndo mimi nitaachana na JF milele.
 
kuna koment ilijuwepo hapa ilikuwa inadai mimi ndo USA BABY na hapa najipigia promo lakin nazan imefutwa maana koment zilikua zishafika zaid ya ishilin nashangaa tena naona zipo 7tu
 
Oh ok.

Ningeshangaa sana kama isingekuwepo aisee.

Halafu unajua nini? Pale watu wanapodhani kila mtu ndiye mimi pasipo na ushahidi wowote ule basi ujue muda mwingi sana huwa wananiwaza.

Nahisi kuna watu washawahi kuniota ndotoni humu .
 
Back
Top Bottom