Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetolea ufafanuzi malalamiko yaliyotolewa na ndugu za kijana aliyeuliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za ujambazi wiki moja iliyopita akidaiwa kujaribu...
3 Reactions
160 Replies
21K Views
Jaman mwenye bajeti ya ulinzi naomba anitumie hata kama kwenye inbox! Nimeangalia kwa website yao sijaona
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba niseme ukweli kuhusu swala la RC Makonda kuvamia Studio za Clouds Media Group naanza kumuelewa na nomeona kuna kitu nyuma ya pazia! Kuhusu swala vyeti hilo lina sehemu yake kwani siyo...
9 Reactions
246 Replies
19K Views
kuna nguvu kubwa katika formula hizi ambazo unaweza kuzitumia na kufikia mafanikio katika maisha yako kwa kila mtu mmoja aliyefanikiwa basi alitumia hizi formula au mabadiliko ya hizi formula...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Zamani tulikuwa na mbegu nyingi tofauti za mahindi, sasahivi aina Moja au mbili ya mbegu zinauzwa na kujaribu kulazimishwa kupandwa nchi nzima. Tulikuwa na aina nyingi za kuku wa kienyegi, Sasa...
1 Reactions
9 Replies
927 Views
Upo ukweli kwamba barabara hiyo kutokea Mataa ya VETA kuelekea Keko hadi maduka mawili , na kipande cha kona ya uwanja wa Taifa hadi keko bora KIKO MBIONI KUOZA baada ya MATAJIRI KUNUNUA CHEMBA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama ambavyo baba askofu gwajima amekuwa akitueleza yeye ni mpole na mnyenyekevu ila once ukimchokoza(kuliamsha dude) basi atakutwanga kote kote. Stay tuned..YouTube channel ya kanisa la ufufuo...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Kilimo kinaajiri 70%+ ya watanzania... Kuna matatizo lukuki kwenye kilimo ukiachana na budget ambayo iliyopita walipata 3% ya walichokiomba ICT na Engineering fields hasa wanafunzi ambao wengi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mada tajwa yahusika! Natanguliza shukrani kwa atakayefanikisha kuupata...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
MH..Mkuu wa nchi pole kwa shughuli ngumu ya kuhahikisha unatetea maslahi ya wanyonge Nchini kwako. Pia nikupongeze kwa jitihada mbali mbali unazozifanya katika kuhakikisha watanzania wote...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baraka Malisa ni mtu aliekua anatesa sana wananchi wa Kilimanjaro kama Scorpion, Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba amekamatwa na watu wote waliojeruhiwa na Baraka Malisa waende Kituo cha...
2 Reactions
90 Replies
18K Views
Unadhani ni kwanini Paul Makonda alianza na Star tv akaja TBC1 na sasa anapanga kumalizia na Uhuru fm? Karibuni Wajuvi.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwenye kumpokea Raisi wa Afrika ya Kusini walimu wamanispaa ya Ilala wakaambiwa wakampokee kuna walio kuwa uwanja wa ndege kuna walio kuwa Ikulu sasa tatizo lilikua kwenye posho karatasi...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Mara utasikia mkandarasi wa barabara fulani,mkandarasi wa jengo au daraja fulani lakini pia nimesikia kwa maradona amesaini kandarasi ya kuifundisha timu moja huko uarabuni.Kwa kuzingatia hii...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habarini Jf Kwa mwenye ile list ya wafanyakazi wa serikalini waliokwisha hakikiwa, tunaomba atuwekee hapa document.
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi? Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo...
4 Reactions
150 Replies
49K Views
Juz kati nimepoteza muda wangu kukuckiliza Bw. Bashite nikifiri labda utanena jambo la mbolea......yaani mmmh, we fanya kurudia tu O-level !! Yaani swali fupi na dogo tu unaulizwa...unaanza...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukio limetokea kwenye kijiji cha londoni wilayani manyoni mkoani singida ambapo waumini wa kanisa moja kijijini hapo walipoamua kusitisha maiti kuzikwa na kuamua kupiga maombi ili Maiti huyo...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Salaam wana Great thinkers, Kwa nia ya dhati napenda kukipongeza hiki kituo cha utangazaji cha Radio One kutokana na vipindi vyao vizuri na vyenye kuvutia na kuelimisha kwa undani zaidi na...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom