Naomba Star TV mrushe live ibada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Jumapili hii

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,082
Nawaomba sana mrushe live hayo mahubiri ya Gwajima ya Jumapili ili ajichoreshe zaidi.

Mnaowasiliana na Anthony Dialo please mfikishieni hilo ombi
 
Dialo ni tapeli mkubwa..hakuna bank inayoweza kumpa mkopo kwa sasa...anashirikiana na HR ktk kampuni zake kuomba mikopo ya wafanyakazi hewa...mara ya mwisho kawaliza mkombozi bank 400m.
Diallo akae kimya,Gwajima aropoke mpk amalize baada ya hapo amburuze kortini kwa udhalilishaji na uongo. Gwajima sio Immigration dpt nor TRA.
 
Gwajima ana mipasho jamani atamuaibisha baba wa watu bure tu
hata star asiporusha lile dude litapata coverage tu, bora alirushe lionekane lenyewe hamnazo na iwe rahisi kuwa na evidence ya kulipeleka mahakamani
 
Back
Top Bottom