kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Eti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"
Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.
Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi
Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?