Habari zenu wadau,
Inasikitisha sana kuona Clouds wanajiingiza kwa nguvu kwenye siasa. Kuna baadhi ya vipindi Clouds (radio pamoja na TV) ukisikiliza utaona wanaongelea siasa za kimafumbo.
Wanamuongelea mkuu wetu wa nchi, mawaziri, wakuu wa mkoa na viongozi wengine, sitaki kuamini kama chanzo cha mambo yote ni "Makonda" ila kikubwa mi mtazamo wangu ni "nchi kwanza" maslah, bifu, siasa baadae uongo na ukweli vyote visemwe.
Tusiwachujie wananchi vitu vya kuwalisha, tutoe taarifa then wananchi watachuja waandishi wa habari tufanye kazi yetu kwa weledi.
Asanteni sana.