KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Naomba niseme ukweli kuhusu swala la RC Makonda kuvamia Studio za Clouds Media Group naanza kumuelewa na nomeona kuna kitu nyuma ya pazia!
Kuhusu swala vyeti hilo lina sehemu yake kwani siyo sehemu ya kitu kilicho sababisha yeye kususiwa na vyombo vya Habari! Nahisi hiki kitu kinahitaji uchunguzi mkubwa sana...ila tukimshambulia kuhusu vyeti naona hiyo nikatika upambanaji katika maisha.
Hila swala la uvamizi namuelewa tumsikilize na tumpe muda wa kumsikiliza ana hoja.