[emoji1] [emoji1] [emoji1] hakutegemea kuonekana kwenye vyombo vya habari,inaonekana huwa anatamani sana akiona Sirro anaonekana mara kwa mara.sasa mbona kamanda ana shout kama ray kigosi? au na yeye ni mdau wa bongo movie!!
Kuna chombo gani cha habari hapo ?[emoji1] [emoji1] [emoji1] hakutegemea kuonekana kwenye vyombo vya habari,inaonekana huwa anatamani sana akiona Sirro anaonekana mara kwa mara.
Demba, nafikiri hayupo peke yake kichwani[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]sasa mbona kamanda ana shout kama ray kigosi? au na yeye ni mdau wa bongo movie!!
ahahaaaa hata mimi sijamuelewa kama baraka yupo nae mbona anamtumia tena ujumbe?Huyo Polisi anamsemaje mtu as if hajamkamata na papo hapo anasema amemkamata!!!???
Na hasa wauza ngadaWatukamatie na huyu Bashite,anatesa sana eatumishi wa umma
Inawasaidia kuwa salama mtaani.Kwahiyo kama amekamatwa sisi inatusaidia nini ,,,
Looks like a dictator eti anashughulikiwa!Kamanda kaniacha hoi huenda naye atakuwa wa daresalama