Mwenzenu sielewi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzenu sielewi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 26, 2011.

1. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 13
Trophy Points: 135
Mara utasikia mkandarasi wa barabara fulani,mkandarasi wa jengo au daraja fulani lakini pia nimesikia kwa maradona amesaini kandarasi ya kuifundisha timu moja huko uarabuni.Kwa kuzingatia hii mifano,nini maana ya neno MKANDARASI?naomba msaada wenu.

2. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 29,570
Likes Received: 10,049
Trophy Points: 280
Tatizo lako unachanganya Kizaramo na Kiingereza. Maradona sio Mswahili

3. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#3
Aug 26, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,133
Likes Received: 1,455
Trophy Points: 280
contract=kandarasi
contrctor= mkandarasi
usimsikilize buji, anafundishwa kiswanglish na mwehu

4. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#4
Aug 26, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 13
Trophy Points: 135

Akhsante mkuu,lakini sikuhitaji tofauti ya mkandarasi na kandarasi,nahitaji ufafanuzi wa neno MKANDARASI.Kwa mfano FUNDI MWASHI=fundi mjenzi wa nyumba.MKANDARASI=?

5. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#5
Aug 26, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 29,570
Likes Received: 10,049
Trophy Points: 280

nini tofauti ya mkataba na kandarasi?

6. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#6
Aug 26, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 753
Likes Received: 275
Trophy Points: 80
Me nimeelewa hv jamani. Contract ni mkataba na constractor ni yule anaye enhance mkataba kwa kile alichotakiwa kufanya na client! Samahani km nimechanganya wana jf!..

7. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#7
Aug 26, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 22,242
Likes Received: 9,259
Trophy Points: 280

ENHANCE!!! KWANINI UMEANDIKA KIINGLISH UMEANZA VWEMA UMEHARIBU HAPA TUUU

Loading...