Kwenye kumpokea Raisi wa Afrika ya Kusini walimu wamanispaa ya Ilala wakaambiwa wakampokee kuna walio kuwa uwanja wa ndege kuna walio kuwa Ikulu sasa tatizo lilikua kwenye posho karatasi walizopewa wasaini zilikuwa zimeandikwa 30,000 lakini waliyopewa ilikua 20,000.
Wale waliohoji mbona napokea 20,000 wakati imeandikwa 30,000 alijibiwa bajeti ni ndogo imebidi tubane hela wapo pia ambao walipata udhuru hawakuja, je hela zao zilirudishwa? jamn walimu wanaonewa sana na kuonekana kama mbuzi wa kafara