Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,715
- 239,294
Upo ukweli kwamba barabara hiyo kutokea Mataa ya VETA kuelekea Keko hadi maduka mawili , na kipande cha kona ya uwanja wa Taifa hadi keko bora KIKO MBIONI KUOZA baada ya MATAJIRI KUNUNUA CHEMBA KUBWA YA KUCHUKUA MAJI yanayotoka kwenye mifereji ya barabara hiyo .
Taarifa za wakazi wa maeneo hayo zinadai kwamba Chemba hiyo ilizibwa rasmi na BENKI YA BACLAYS TAWI LA KEKO ( ambayo ilishafungwa )
Haikuweza kufahamika nguvu walizokuwa nazo watu hao , kiasi cha kupata uwezo wa kuzuia maji ya mifereji , hali inayoweza kusababisha kuoza kwa barabara iliyojengwa kwa mamilioni ya shilingi .
Jitihada za kumtafuta mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke zinaendelea .