luv over hate
Member
- Apr 20, 2017
- 55
- 39
Juz kati nimepoteza muda wangu kukuckiliza Bw. Bashite nikifiri labda utanena jambo la mbolea......yaani mmmh, we fanya kurudia tu O-level !!
Yaani swali fupi na dogo tu unaulizwa...unaanza kuleta habari za kuconnect doti, mara oooh kipindi nipo wapi niliwahi kusomea mambo ya nn sijui....hahhah hah
We Jibu ulifanya uvamizi au hukufanya!.. Achaga porojo...